Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mh: Hamida Mussa Khamis akipata elimu ya mwani kutoka kwa afisa wa kampuni ya mwani mara alipotembelea banda la Kampuni ya Mwani katika viwanja vya Maonesho ya Kimataifa vya Nyamanzi januari 2026. January 26, 2026
The Deputy Principal Secretary of the Ministry of Trade and Industry Development, Dr. Said Seif, presenting an award and a sponsorship certificate to the Zanzibar Seaweed Company (ZASCO) during the closing ceremony of the 11th Trade Exhibition held at Nyamanzi Grounds January 16, 2025
Baadhi ya wananchi wakiwa katika Banda la Kampuni ya Mwani viwanja vya maonesho Dimani wakipata maelezo ya ubora wa mwani unaozalishwa Zanzibar November 12, 2024